Aina Mpya Ya Ndege

Solar Ship hujenga ndege za kutumika kwenye sehemu za mashambani, nyingi zao zikiwa sehemu zisizokuwa na barabara. Ndege hii ni ya hali ya juu na huinuka kwa urahisi kutokana na muundo wake na kwa kutumia hewa nyepesi.

Mabawa yamejengwa kwa muundo wa meli ili kuruhusu kupaa na kutua kwenye sehemu ndogo hata kiasi cha uga wa soka. Muundo wake pia ni hususan kuzalisha nishati kutokana na miale ya jua na basi ndege hii hupaa safari ndefu bila haja ya kawi zaidi hasa ikikumbukwa kuwa mashambani hakuna vituo vya mafuta, barabara au vituo vya ndege kutua. 

Chagua lugha upendayo

CAFRBRPTEast African CommunityCDRWBIMGIDIRJPChina